![]() |
||||||||
EDIT, kampuni ndogo inayo huduma za kutafsiri matangazo ya uuzaji na maandishi ya huduma za uwasiliano, juzi ilitafsiri kurasa 5000 za vitabu vya mahudumio vya Boeing 747 kwa muda wa siku 20. Kufanya hiyo kazi, EDIT iliwasiliana na mpangilio wa mashujaa wa hiyo kazi waliofanya kazi saa zote kutoka pande zote mbili za bahari ya Atlantic kwa mawasiliana ya Internet. Zaidi ya maneno 300,000 yalitafsiriwa, na kamusi ya maneno 2,500 ikaandikwa, haya yote kwa muda huu mndogo. |
![]() ![]() 50, rue Miromesnil - 75008 Paris - France Tel.: 331 42 68 18 14 - Fax : 331 42 68 18 16 edit@edit.fr |
|||||||
|
EDIT ni mmoja wa kundi Guild of European Translators
|
||||||||
|
mpya! ya safari za biashara |
||||||||